De Aller-Bedste Bøger - over 12 mio. danske og engelske bøger
Levering: 1 - 2 hverdage

Hamu ya kumpata Owen Gray - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Bag om Hamu ya kumpata Owen Gray - Hadithi Fupi ya Mapenzi

"Ninahisi matiti yangu yakijibana na yakiuma, kana kwamba yako karibu kupasuka. Nimeegemea kwenye kaunta, lakini kile ambacho mtu mwingine hakioni ni mikono ya mwanaume yakifinya matiti yangu, na kufanya ngozi kutokea kwenye vidole vyake. Nikisimama tuli na niwe makini, ninaweza kuhisi msisimko wa nywele zake ndogo nyeusi nyuma ya mikono ya mwanaume huyu kwenye kipingili cha mkono wangu. Nilijitahidi kutopumua na nikavuta pumzi kwa haraka na nikainua kichwa changu ili kumwangalia. Tukakutana macho." Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na Mtayarishaji filamu wa Uswidi, Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki. Sarah Skov ni jina bandia la mwandishi mdogo wa kike. Ameandika pia hadithi fupi za kutia ashiki kama vile Kufanya Mapenzi Ndani ya Gari, Kula Nami, Kumbukumbu Zako na Mwanaume Mtetezi wa Wanawake.

Vis mere
  • Sprog:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9788726216615
  • Udgivet:
  • 11. September 2019
  • Straks på e-mail.

Normalpris

Abonnementspris

- Rabat på køb af fysiske bøger
- 1 valgfrit digitalt ugeblad
- 20 timers lytning og læsning
- Adgang til 70.000+ titler
- Ingen binding

Abonnementet koster 75 kr./md.
Ingen binding og kan opsiges når som helst.

Beskrivelse af Hamu ya kumpata Owen Gray - Hadithi Fupi ya Mapenzi

"Ninahisi matiti yangu yakijibana na yakiuma, kana kwamba yako karibu kupasuka. Nimeegemea kwenye kaunta, lakini kile ambacho mtu mwingine hakioni ni mikono ya mwanaume yakifinya matiti yangu, na kufanya ngozi kutokea kwenye vidole vyake. Nikisimama tuli na niwe makini, ninaweza kuhisi msisimko wa nywele zake ndogo nyeusi nyuma ya mikono ya mwanaume huyu kwenye kipingili cha mkono wangu. Nilijitahidi kutopumua na nikavuta pumzi kwa haraka na nikainua kichwa changu ili kumwangalia. Tukakutana macho."

Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na Mtayarishaji filamu wa Uswidi, Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.

Sarah Skov ni jina bandia la mwandishi mdogo wa kike. Ameandika pia hadithi fupi za kutia ashiki kama vile Kufanya Mapenzi Ndani ya Gari, Kula Nami, Kumbukumbu Zako na Mwanaume Mtetezi wa Wanawake.

Brugerbedømmelser af Hamu ya kumpata Owen Gray - Hadithi Fupi ya Mapenzi



Find lignende bøger
Bogen Hamu ya kumpata Owen Gray - Hadithi Fupi ya Mapenzi findes i følgende kategorier: