Bøger af Thomas Gregory Stewart
-
178,95 kr. Kukulia kwenye nyumba isiyokuwa na baba wa kutegemewa na yenye mama anayekunyanyasa kihisia, ilikuwa rahisi kwa Tom Stewart kuingia kwenye mtego wa kundi la watu wabaya. Huku akizoea desturi ya kufuata ushawishi wa wengine na kutaka uthibitisho kutoka kwa wakubwa wake, Tom alijikuta amenaswa kwenye mwongo wa dhuluma kutoka kwa kiongozi wa kikundi chake cha Maskauti. Kiwewe cha utoto wake kuharibiwa kinamfuata hadi siku za baadaye, ambapo anakumbana na majaribu si haba. Kupitia janga la kiafya, mahusiano yaliyovunjika na kifo cha mtoto wake wa kiume, Tom anashikilia imani yake isiotetereka. Wakati kesi muhimu inapomweka kwenye barabara ndefu ya msamaha na uponyaji, Tom anaanza kuona kusudi la Mungu kwenye uchungu aliokuwa akiupitia. Badala ya kusalia kwenye uchungu, Tom anakabili siku zake za nyuma, akithibitisha kuwa hata katika hali mbaya, Mungu anaweza kugeuza mabaya kuwa mema. Katika kitabu chake cha kumbukumbu ya kuhuzunisha, Tom anawasilisha ujumbe wa tumaini katika mazingira ya madhara yasiyofikirika. Kupaa Kama Tai ni hadithi ya uvumilivu na nguvu ya msamaha, inayotukumbusha kuwa kutokana na neema ya Mungu, kuna uwezekano wa kuinuliwa juu zaidi ya hali zetu za kupondeka. "Katika utoto wake wote, Tom Stewart alikumbana na mwongo mzima wa dhuluma ya kingono kutoka kwa kiongozi wa kikundi chake cha Maskauti Wavulana. Katika kitabu chake dhahiri, Kupaa Kama Tai, anatusimulia siyo tu kisa chake, bali pia anampatia msomaji maarifa ya kutambua ishara za dhuluma na kutoa njia ya uponyaji kupitia imani katika Yesu. Kitabu hiki lazima kisomwe na kila mzazi ili kumsaidia kuwalinda watoto wake na vilevile lazima kisomwe na kila mtu aliyeteseka kama Tom alivyoteseka."- Josh D. McDowell, Mwandishi
- Bog
- 178,95 kr.
-
178,95 kr. Tuve una pesadilla anoche.Estaba pidiendo ayuda a gritos,PERO NADIE ESCUCHO¿ MIS SILENCIOSOSGRITOS.Al crecer en el hogar de un padre ausente y una madre emocionalmente abusiva, Tom Stewart, era un blanco fäcil para un depredador. Condicionado por la sumisiön y desesperado por la afirmaciön de las figuras de autoridad, Tom cae presa de toda una de¿cada de abuso por parte de su li¿der Boy Scout.El trauma de su infancia robada lo persigue en su futuro, donde se encuentra au¿n con mäs pruebas de las esperadas. A trave¿s de una crisis de salud, relaciones rotas y la trägica pe¿rdida de un hijo, Tom se aferra a su fe inquebrantable. Cuando una demanda histörica lo coloca en el largo camino hacia el perdön y la sanaciön, Tom comienza a ver el propösito de Dios para su dolor. En lugar de refugiarse en la amargura, Tom se enfrenta a su pasado, demostrando que incluso en las peores circunstancias, Dios puede convertir el mal en bien.En sus desgarradoras memorias, Tom transmite un mensaje de esperanza frente a un dolor impensable. En alas de águila es una historia de perseverancia y del poder del perdón, que nos recuerda que, por la gracia de Dios, es posible superar nuestro quebrantamiento.A lo largo de su infancia, Tom Stewart experimentó una década de abuso sexual por parte de su líder Boy Scout. En este libro tan transparente, En alas de águila, no solo comparte su historia, sino que también equipa al lector para reconocer las señales de abuso y proporciona un camino hacia la sanación a través de la fe en Jesús. Una lectura obligada para todos los padres, para ayudar a proteger a sus hijos, y para todas las personas que sufrieron como lo hizo Tom. -Josh D. McDowell, autor
- Bog
- 178,95 kr.