Bøger af Mathias E Mnyampala
-
78,95 kr. Mathias E. Mnyampala (1917-1969) is a famous Tanzanian lawyer, writer and poet who wrote in Kiswahili. The unpublished manuscript of his autobiography has been discovered in 2007 in Dodoma (United Republic of Tanzania) by Dr Mathieu Roy by finding the heir of the author. Roy then edited the manuscript for the first time in 2013. It was conserved in Dodoma with other unpublished manuscripts and rare literary archives by Charles M. Mnyampala, the second son of the author who received from his father the mission to conserve and publish these precious documents since 1969. This Kiswahili book is a light edition from the main paper book and contains only Mnyampala's autobiographical text with an introduction by Charles M. Mnyampala. Marehemu Mathias E. Mnyampala (1917-1969) aliandika habari za maisha yake wakati alipokuwa ameshaona kwamba anakomea mwisho wa uhai wake kutokana na kuumwa sana na ndwele miaka 1968-1969. Wakati huo alikuwa ameshakuza sana lugha ya Kiswahili kwa ufasaha wake wa kishairi na mambo mengine mengi pamoja yake vitabu vyake kuhusu historia ya Ugogo, siasa ya Ujamaa, dini na maisha ya wafu maarufu kama Mtemi Mazengo na Sheikh Kaluta Amri Abedi. Kwa sababu kumbe alifanikiwa sana kutoka utoto wake katika machunga ya Ugogo, bila kujua kusoma wala kuandika hadi umri wa kuoa mke na kulipa kodi, mpaka ubingwa wa lugha ya Kiswahili na utungaji wa idadi ya vitabu inayozidi ishirini na tano akiwa anadhaniwa na wataalamu wa ushairi wa Kiswahili na washairi wenzake wenyewe kuwa malenga mmoja mkuu wa Karne iliyopita. Alikuwa mzalendo mkubwa wa Taifa la Tanzania na alijitolea kabisa kueneza lugha yake Kiswahili maisha yake yote. Mchango wake Mathias E. Mnyampala kwa fasihi ya Kiswahili na Taifa lake ni tukufu, kadiri ya kupewa heshima kubwa ya Nishani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mheshimiwa Rais Ali Hassan Mwinyi mwaka 1994. Mswada huu ambapo marehemu Mathias E. Mnyampala anatusimulia habari za maisha yake binafsi ulibaki muda mrefu sana uliozidi miaka arobaini bila kupigwa chapa. Uligunduliwa mwaka 2007 mjini Dodoma na Dr Mathieu Roy na kupata kuhaririwa mwaka 2013. Mswada ulikuwa unahifadhiwa kwa makini sana na Charles M. Mnyampala, mtoto wa pili wa Mathias E. Mnyampala, kuanzia kifo cha baba yake mwaka 1969. Kwa mara ya kwanza, toleo hili kutoka shirika la DL2A - Buluu Publishing (Ufaransa) linawapa wasomaji watukufu na wapenzi wa Kiswahili nafasi ya pekee ya kugundua maisha ya mzungupule huyo wa Kiswahili na fasihi yake. Toleo hilo lenye bei nafuu limepunguzwa picha na kurasa kadhaa ukilingana na toleo kuu la kwanza. Mswada wote wa Maisha ni kugharimia ulinukuliwa kwa ukamilifu.
- Bog
- 78,95 kr.
-
- (school Edition)
78,95 kr. Ugogo na ardhi yake "The Gogo and its land" is the first geography book wrote in Kiswahili about the Ugogo region in Tanzania (former Tanganyika territory). The book gives precious details with numeric tables about populations, crops and environment. The linguistic terms about the land and especially the soil are given in a Cigogo/Kiswahili translation. The precise administrative organization of the land is also described. Ugogo na ardhi yake will be a valuable reference book for historians, geographers and all the people interested in the history of geography and ecology in the beginning of the 20th century in Tanganyika. It is worth to mention that Mathias E. Mnyampala is a pioneer in the history of ecology studies in East Africa also he is more known as a poet and lawyer.
- Bog
- 78,95 kr.
-
253,95 kr. Mathias E. Mnyampala (1917-1969) is a famous Tanzanian writer and poet who wrote in Kiswahili. This book is the first edition of the unpublished manuscript of his autobiography discovered in 2007 in Dodoma (Tanzania). This Deluxe Edition contains some pictures of the manuscript and other documents from his archives.
- Bog
- 253,95 kr.
-
- French edition
118,95 kr. Autobiographie en kiswahili d'un magistrat et poète tanzanien Le texte en kiswahili de ce livre correspond au manuscrit de l'autobiographie de Mathias E. Mnyampala (1917-1969). Il constitue un trésor du patrimoine littéraire tanzanien qui était demeuré inédit pendant presque une quarantaine d'année. Il a été retrouvé en 2007 à Dodoma (Tanzanie) par Mathieu Roy, qui l'a ensuite édité et publié, en association avec le TUKI (TATAKI à présent, de l'Université de Dar es Salaam) et Charles M. Mnyampala, le fils de l'auteur qui conservait le manuscrit.Mathias E. Mnyampala est un grand auteur tanzanien de langue swahilie qui a écrit plus de vingt-cinq livres. Il était déjà reconnu par ses pairs de son vivant et a présidé l'association nationale des poètes d'expression swahilie et d'aménagement de la poésie (UKUTA) jusqu'en 1966. Il a écrit des centaines de poèmes dans le style classique ou néo-classique, il a inventé de nouveaux mètres, écrit des essais de géographie, de théologie politique, d'ethno-histoire. Puis il a sombré dans l'oubli.Mathias E. Mnyampala a aussi connu une brillante carrière de juriste, depuis l'administration coloniale, jusqu'au gouvernorat de la région de Mpanda dans l'Ouest tanzanien en 1963 et la fonction de magistrat, dans les juridictions primaires de Dar-es-Salaam, la capitale économique (et alors administrative) de la République Unie de Tanzanie.Cette réédition ne comprend que le texte du manuscrit de l'autobiographie, sans les images reproduites dans la première édition parue en 2013 chez le même éditeur. L'intention en est de baisser le prix du livre de manière très significative afin que l'oeuvre soit durablement accessible.
- Bog
- 118,95 kr.